UNAI EMERY: NATAKA NISHINDE MATAJI NIKIWA NA TIMU HII.
Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery amesema kwamba anataka kushinda mataji akiwa na timu yake hiyo mpya. Kocha huyo aliongea hayo wakati akiojiwa na waandishi wa habari ambao ni mashabiki wa klabu hiyo ya washika mitutu wa London.
Emery alisajiliwa na Arsenal akitokea PSG ya Ufaransa ambapo alikuwa huru baada ya kuachana na timu hiyo toka msimu uliopita.

No comments:
Post a Comment